Matthew 18:24-25

24Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta
Talanta moja ni sawa na mshahara wa kibarua wa miaka 15.
10,000, aliletwa kwake.
25 bKwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa.

Copyright information for SwhNEN